1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.06.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S16 Juni 2022

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wamelaani vikali kile walichokiita "uhalifu uliofanywa na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine"+++Kenya- Rais Uhuru Kenyatta ataka jeshi la Afrika Mashariki litumwe DRC+++Chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, leo kimekosoa vikali bajeti ya serikali iliyosomwa bungeni nawaziri wa fedha.

https://p.dw.com/p/4CpDN