1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.06.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S16 Juni 2020

Nchini Tanzania Rais John Pombe Magufuli amelifunga rasmi bunge la 11 na kufungua njia ya kuanza rasmi kwa mchakato wa kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu> Mahojiano/ Mikutano ya kampeni yapigwa marufuku Uganda/ Korea Kaskazini yairipuwa ofisi ya pamoja na Korea Kusini/ Siku ya Mtoto wa Afrika

https://p.dw.com/p/3dsEJ