1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.06.2018 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
16 Juni 2018

Migawanyiko kuhusu uhamiaji inaendelea kushuhudiwa kati ya viongozi wa serikali ya muungano nchini Ujerumani // China imelipiza kisasi kwa kutangaza ushuru wa thamani ya dola bilioni 50 kwa bidhaa za Marekani // Na aliyekuwa makamu wa rais wa Congo, Jean-Pierre Bemba, amejiunga na familia yake nchini Ubelgiji baada ya kufutiwa mashitaka na mahakama ya ICC

https://p.dw.com/p/2zfMN