1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.04.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Aprili 2021

Naibu wa rais wa Kenya William Ruto ametishia kukihama chama cha Jubilee iwapo kitaendelea kuwavuruga viongozi wanaogemea upande wake/ Tanzani: Mgawiko katika utetezi wa utawala wa aliyekuwa rais Hayati Magufuli/ UN: Ukatili wa kijinsia na ubakaji unatumiwa kama silaha Tigray, Ethiopia/ Watu wanane wameuawa baada ya kupigwa risasi kwenye mji wa Indianapolis

https://p.dw.com/p/3s7RB