16.04.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 16.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

16.04.2021 Matangazo ya Jioni

Tanzania- Polisi inadaiwa kuuzuia mkutano wa hadhara wa vijana wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA// Chama cha wanasheria Tanganyika TLS, kimemchagua Dr. Edward Hosea kuwa Rais wa chama hicho// Ziara ya Bintou Keita DRC yakumbwa na purukushani// Rais Volodymyr Zelensky amewasili nchini Ufaransa kwa mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Emmanuel Macron na pia Kansela Angela Merkel wa Ujerumani.

Sikiliza sauti 60:00