16.04.2021 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 16.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

16.04.2021 Matangazo ya Asubuhi

Marekani itaondoa wanajeshi wao wote nchini Afghanistan ifikapo tarehe 11 Septemba/ Hujuma ya karibuni katika kinu kikuu cha Iran cha urutubishaji nishati ya nyuklia/ Ushindani mkubwa ni kati ya wanachama Armin Lachet na Markus Söder/ Ubalozi wa ujerumani nchini Tanzania wasaidia zaidi ya wasichana elfu mbili na mia tano/ Uganda yaanza safari ya kujenga maridhiano na ushirikiano

Sikiliza sauti 52:00