1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.04.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Aprili 2020

WHO yaskitishwa na uamuzi wa Marekani wa kusitisha ufadhili// Shirika la fedha la kimataifa, IMF limeamua kutoa mikopo ya dharura kwa nchi masikini pamoja na kusimamisha ulipaji wa riba za madeni kwa nchi hizo// Tanzania kumekuwa na ongezeko la shinikizo la kutaka hatua kali zaidi zichukuliweili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya Corona// EU: Hali nchini Msumbiji inatia wasiwasi.

https://p.dw.com/p/3azYL