16.04.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

16.04.2019 Matangazo ya Jioni

Moto mkubwa umesababisha uharibufu mkubwa katika kanisa katoliki la Notre Dame mjini Paris jana jioni nchini Ufaransa. Usiku kucha watu walikusayika karibu na kanisa hilo wakiomba na kuimba huku juhudi za uzimaji moto huo zikiendelea// Bunge la Misri limekutana kupiga kura juu ya mageuzi ya katiba yatakayo mruhusu rais Abdel-Fatah al sisi kubakia madarakani zaidi ya mwaka 2022.

Sikiliza sauti 60:00