15.12.2019 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 15.01.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.12.2019 Matangazo ya Asubuhi

Miaka 50 kamili tangu kumalizika kwa vita vya Biafra/ Ufaransa na mataifa matano ya ukanda wa Sahel ama G5 yametangaza kuimarisha ushirikiano kwenye vita dhidi ya ugaidi. Lakini wataalamu wana wasiwasi iwapo ahadi hiyo inajitosheleza katika kuufanya ukanda huo kuwa salama tena/ Mvua itaendelea kunyesha kote nchini Kenya kwa wiki yote hii, hali inayoashiria uwezekano wa nzige kuendelea kuzaana

Sikiliza sauti 51:59