1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.11.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Novemba 2021

Sudan: Idadi ya waliouawa tangu jeshi kuchukuwa tena madaraka imefikia watu 23/ Uganda: Kumeibuka maswali juu ya kutokuwepo usawa linapokuja suala la kuviwajibisha vikosi vya usalama vinavyodaiwa kuhusika na mauaji/ Dar es Salaam: Sakata la uhaba wa maji limechukua sura mpya/ Libya: Mtoto wa hayati Muamar Gaddafi ametangaza dhamira yake ya kuwania kiti cha urais/ Ulaya yaongeza vikwazo Belarus

https://p.dw.com/p/4324K