Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
ICC yaamuru uchunguzi dhidi ya Myanmar kuanza//Morales aiomba UN na Papa Francis kusuluhisha mzozo Bolivia
Tuma Facebook Twitter google+ Whatsapp Tumblr Digg Newsvine
Kiungo https://p.dw.com/p/3T7y5
Taarifa za kifo cha mtangazaji mwenzetu Mohammed Dahman, aliyeaga dunia siku ya Ijumaa (02.08.2019) mjini Cologne, magharibi mwa Ujerumani, zimeishtua timu nzima ya Idhaa ya Kiswahili ya DW mjini Bonn.
Schalke imepanda hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ya kandanda Ujerumani - Bundesliga pointi sawa na vinara Borussia Moenchengladbach baada ya ushindi wa 2 - 1 dhidi ya wageni Union Berlin
Mahakama ya kupambana na ugaidi Bangladesh imewahukumu kifo wanamgambo saba wa kundi lenye misimamo mikali ya kidini Jumatul Mujahedeen, kwa kuhusika na shambulio la mjini Dhaka lilosababisha vifo vya watu 20 mwaka 2016.
Orodha ya vipindi vya Idhaa ya Kiswahili ya DW.