1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.10.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S15 Oktoba 2020

G20 limeridhia kurefusha muda wa mataifa masikini kulipa madeni yake. Kansela Angela Merkel amekubaliana na viongozi wa majimbo kuongeza mbinyo kwenye kanuni za kupambana na corona. China imeionya Marekani baada ya Washington kutuma meli ya kivita karibu na Taiwan.

https://p.dw.com/p/3jxFo