1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.10.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Oktoba 2020

Mgombea wa urais visiwani Zanzibar anayepeperusha bendera ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif, amefungiwa kufanya kampeni kwa muda wa siku tano// Maafisa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameripoti kuwa zaidi ya raia 21,000 wa nchi hiyo wamewasili katika jimbo la Kasai baada ya kufukuzwa kutoka Angola// Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanaokutana kwa siku mbili mjini Brussels, Belgium.

https://p.dw.com/p/3jzMu