1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.10.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S15 Oktoba 2018

Washirika wa Merkel wapata pigo uchaguzi wa Bavaria/ Maoni: Pigo la CSU litaathiri pia siasa za serikali kuu mjini Berlin/ Tanzania: Familia ya Mo Dewji imezungumza na waandishi wa habari/ Rais Kenyatta amesema nchi yake haitaondoa wanajeshi wake nchini Somalia hadi nchi hiyo itakapopata amani, uthabiti na usalama/ Saudi Arabia yatishia kulipiza kisasi iwapo itaadhibiwa kwa suala la Khashoggi

https://p.dw.com/p/36YlV