1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.09.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S15 Septemba 2020

Dar es Salaam: Wagombea wa vyama vya siasa wanaowania kuwakilisha wananchi katika majimbo wameendelea kunadi sera zao, huku baadhi ya majimbo yakishuhudia mchuano mkali/ Mahojiano: Usalama kwenye migodi/ Moto katika kambi ya wakimbizi ya Moria: Umoja wa Ulaya umetoa kauli nyingi zinazoonekana kutokuwa na mshiko na hakuna lingine la kutoa/ Matumaini ya mageuzi nchini China yanaongezeka

https://p.dw.com/p/3iTpW