1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.09.2018- Matangazo ya mchana

Isaac Gamba
15 Septemba 2018

Tuliyo nayo ni pamoja na : Boris Johnson asema anamuunga mkono Theresa May isipo kuwa anapinga mapendekezo yake kuhusu Brexit// Paul Manafort aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni za rais Donald Trump akubali kushirikiana na mchunguzi maalumu Robert Mueller//Wahamiaji 520 wa Afghanistan wafukuzwa barani Ulaya mwaka 2018.

https://p.dw.com/p/34uLD