15.09.2017 Matangazo ya Mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 15.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

15.09.2017 Matangazo ya Mchana

Nchini Tanzania inatajwa kwamba wanachama kadhaa wa chama kikuu cha upinzani Chadema walikamatwa wakielekea kwenda kuchangia damu hospitali huko Temeke mjini Daresalam// Korea kaskazini imefyatua kombora jingine la masafa ya kati juu ya anga ya Japan na kuangukia katika bahari ya Pacific leo Ijumaa, vikosi vya majeshi ya Marekani na Korea kusini vimesema.

Sikiliza sauti 60:00