15.08.2019 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 15.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.08.2019 Matangazo ya Jioni

Kuelekea mkutano wa kilele wa mataifa ya kusini mwa Afrika, SADC, unaofanyika nchini Tanzania, Rais wa nchi hiyo, John Magufuli, na mgeni wake, Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, wamehaidi kuendelea kushirikiana zaidi katika ukuzaji uchumi// Joto la kile kinachoonekana kuwa muelekeo wa siasa za Kenya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2022, linazidi kushika kasi.

Sikiliza sauti 59:59