1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.07.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Julai 2019

Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Umoja wa Ulaya wanatarajia kwamba watafaulu kuupunguza mvutano uliopo kati ya Marekani na Iran/ Kongo: Wakaazi mjini Goma wana wasiwasi mkubwa baada ya Wizara ya afya kuthibitisha kisa cha kwanza cha Ebola katika mji huo/ Kenya: Walinzi wa kampuni binafsi wamepewa mamlaka ya kubeba silaha kadhalika kuwakamata wahalifu na kuwakabidhi kwa vyombo vya usalama.

https://p.dw.com/p/3M7Bn