15.06.2017 Matangazo ya Mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 15.06.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

15.06.2017 Matangazo ya Mchana

Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limeripoti kuwa mwanasheria maalum anaechunguza madai ya uingiliaji wa Urusi katika uchaguzi wa Marekani mwaka uliopita Robert Mueller, anachunguza pia iwapo rais Donald Trump alijaribu kuzima uchunguzi huo/ Licha ya lawama za rais Donald Trump, Marekani inaonyesha dalili za kutoiacha mkono Qatar mnamo wakati ambapo juhudi za kidiplomasia zimeshika kasi

Sikiliza sauti 59:59