15.04.2019 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 15.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

15.04.2019 Matangazo ya Mchana

Huko nchini Tanzania, kumeanza hivi leo kusikilizwa kesi ya aina yake, ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameiomba Mahakama Kuu kutoa amri ya kusitisha zoezi la kuapishwa kwa mbunge mteule wa jimbo hilo, Miraji Mtaturu// Pakistan leo inaadhimisha kile inachokiita "Siku ya Giza" ambayo inakwenda sambamba na sherehe ya maadhimisho ya siku ya Uhuru wa India.

Sikiliza sauti 60:00