15.04.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 15.04.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

15.04.2019 Matangazo ya Jioni

Waandamanaji wa Sudan bado wamekaa nje ya makao makuu ya jeshi katika jiji la Khartoum// Shirika la kutetea Haki za Binadamu Ulimwenguni, HRW, limeitaka serikali ya Afrika Kusini kuwakamata na kuwafungulia mashtaka waliohusika na visa vya mauaji na mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni nchini humo.

Sikiliza sauti 60:00