1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.02.2018: Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Lilian Mtono
15 Februari 2018

Sikiliza na taarifa ya habari ya asubuhi: Miongoni mwa tuliyonayo ni Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ajiuzulu wadhifa wake, kijana wa miaka 19 afanya shambulizi la risasi kwenye shule na kuuwa 17 nchini Marekani na aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa Robert Mugabe, Morgan Tsvangirai afariki dunia.

https://p.dw.com/p/2sifm