1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.12.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Desemba 2018

Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, upinzani, tume huru ya uchaguzi na serikali zimetupiana lawama kufuatia kuungua kwa ghala ya vifaa vya uchaguzi zikiwemo mashine za kupigia kura hapo jana// Bunge la Umoja wa Ulaya limeorodhesha matukio kadhaa yanayokiukwa nchini Tanzania na limeitolea wito serikali ya Tanzania kurekebisha mwenendo wake na kuacha kukiuka haki za binaadamu.

https://p.dw.com/p/3A737