14.12.2017 Matangazo ya Asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 14.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

14.12.2017 Matangazo ya Asubuhi

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya nchi za Kiislamu OIC umemalizika jana mjini Istanbul Uturuki pakitolewa tangazo la Palestina kama dola kamili na kuwa Jerusalem Mashariki unaokaliwa kimabavu ndiyo mji mkuu wake// Je Afrika imegeuka kuwa rafiki mkubwa wa Israel, kufuatia ziara iliyofanywa mwaka jana na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika nchi 4 za bara hilo?

Sikiliza sauti 08:00