1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.07.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Julai 2020

Sheikh Ponda Issa bado anashikiliwa na polisi Tanzania// Baadhi ya viongozi wa dini ya Kiisilamu na Kikristo nchini Kenya wamesema hawatafungua sehemu za kuabudu// Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amehudhuria gwaride ndogo la kijeshi la Julai 14.// China yaituhumu Marekani kwa kuchochea mzozo // Kesi dhidi ya kiranja wa wapiganaji wa Timbuktu yaanza ICC.

https://p.dw.com/p/3fJcl