14.06.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 14.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.06.2021 Matangazo ya Mchana

Visa vya COVID 19 vyazidi kuenea Uganda/ Odinga amemtaka Kenyatta kuwaelezea bayana Wakenya sababu za kukataa kuwateua majaji sita kama walivyopendekezwa na Tume ya Idara ya Mahakama/ Viongozi duniani wampongeza Waziri Mkuu mpya wa Israel/ China yaliponda kundi la G7 kwa 'upotoshaji'/ Ripoti ya SIPRI: Bado kiwango cha silaha zinazoweza kutumiwa kinaongezeka

Sikiliza sauti 60:00