1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.05.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Mei 2021

Wapalestina 6 wameuwawa huko Ukingo wa Magharibi kufuatia makabiliana na Waisrael// Wazungu waliokolea kwanza katika shambulizi la Msumbiji// Watoto wawili kutoka familia za mitaani ni kati ya wanafunzi 143,000 ambao watajiunga na vyuo vikuu//Baraza la Waislamu Nchini Tanzania BAKWATA limeitaka Serikali kuhakikisha inafanya utafiti wa kutosha juu ya chanjo za CORONA .

https://p.dw.com/p/3tPt9