Watu sita wauawa Sudan licha ya muafaka kuhusu baraza la mpito/ Sri Lanka yarefusha hali ya hatari katika jimbo la Kaskazini/ Rais Tshisekedi amewahimiza magavana wa majimbo ya Kongo kuwa mfano mzuri katika kupambana na rushwa na kuhakikisha utawala bora/ Tanzania: Ripoti ya mwaka 2018 kuhusu hali ya haki za binadamu nchini