14.02.2019 Matangazo ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 14.02.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

14.02.2019 Matangazo ya Asubuhi

Bunge la Uingereza wiki hii linatarajiwa kufanya mjadala kuhusu mchakato wa Uingereza kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya// Nigeria inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu wa rais mwishoni mwa wiki hii, tarehe 16.02.2019// DRC ni miongoni mwa nchi zilizoathirika na uhaba pamoja na kupanda kwa bei ya vyakula duniani kulingana na ripoti ya kila mwaka ya shirika la FAO.

Sikiliza sauti 51:59