1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.01.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Januari 2022

Mamlaka ya usimamizi wa huduma za polisi nchini Kenya, IPOA, imeanzisha uchunguzi wa matukio ambapo washukiwa wamefariki mikononi mwa polisi+++Al-Shaabab yatishia kuishambulia Kenya+++Watu wengine 2 wauawa katika maandamano Sudan+++Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya leo watajadili uhusiano baina ya muungano huo na China na Belarus.

https://p.dw.com/p/45WwR