14.01.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 14.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.01.2022 Matangazo ya Jioni

NASA: Mwaka 2021 ulikuwa na joto kali+++Ongezeko la joto duniani ni miongoni mwa madhara ya mabadiliko ya tabia nchi+++ripoti iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, (LHRC) imebaini kuwa idadi kubwa ya watoto na watu wenye ulemavu nchini Tanzania, walipitia udhalilishaji wa kingono+++Ukraine yalengwa katika mashambulizi ya mtandao.

Sikiliza sauti 59:59