14.01.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 14.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

14.01.2021 Matangazo ya Jioni

Waganda watekeleza zoezi la uchaguzi wa rais na bunge hii leo// Hussein Mwinyi na Maalim Seif wakutana na rais Magufuli kijijini Chato// Tume ya kitaifa ya haki za binadamu nchini Ethiopia imesema zaidi ya raia 80 wameuwawa katika shambulizi lililofanyika magharibi mwa Ethiopia. Eneo hilo limeshuhudia mauaji ya mara kwa mara katika miezi ya hivi karibuni.

Sikiliza sauti 60:00