1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.01.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Januari 2020

Rais wa Iran amesema watu wote wanaohusika na kuidungua bila ya kukusudia ndege ya Ukraine wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria na ajali hiyo itachunguzwa kwa umakini mkubwa/ Mahojiano kuhusu mgogoro wa Libya/ Tume ya Ukweli na Maridhiano nchini Burundi imewasilisha ripoti yake mbele ya mabaraza ya bunge na seneti/ kenya: Visa vya dhulma dhidi ya waandishi wa habari vimeongezeka maradufu mwaka huu

https://p.dw.com/p/3WCMg