13.11.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 13.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

13.11.2020 Matangazo ya Jioni

Tanzania- Changamoto zilizojitokeza kwenye uchaguzi wa mwezi Oktoba pamoja na mjadala wa maridhiano kuelekea kupatikana muafaka// Umoja wa Mataifa umeonya kwamba kuna uwezekano kuwa uhalifu wa kivita umefanywa nchini Ethiopia katika jimbo laTigray// Marekani- Muungano wa maafisa wa serikali za majimbo na serikali kuu umesema hawana ushahidi wowote kwamba kura ziliibiwa katika uchaguzi wa urais.

Sikiliza sauti 60:00