13.11.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 13.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

13.11.2019 Matangazo ya Mchana

Mashambulizi dhidi ya Gaza yapamba moto/ Bolivia: Seneta wa upinzani ajitangaza kuwa kaimu rais/ Tanzania: Vyama vingi vya upinzani vimejiondoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa> Mahojiano/ Uganda: Hatua ya Dr. Kiza Besigye kuanzisha mchakato wa kumshtaki rais Museveni katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC/ Mombasa: Moto umeteketeza hospitali moja ya binafsi

Sikiliza sauti 60:00