13.11.2019 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 12.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

13.11.2019 Matangazo ya Jioni

Kitabu chake rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, kilizinduliwa leo jijini Dar es salaam/ Je, kauli ya Mkapa ya kwamba chama cha CCM kinafanya mambo yake kama vile bado kipo katika mfumo wa chama kimoja ni onyo rai au mtazamo tu?/ Bolivia inakabiliwa na mkwamo wa kisiasa baada ya Rais Morales kukimbilia nchini Mexico/ Uingereza: Udukuzi wa mtandaoni wakishtusha chama cha Labour

Sikiliza sauti 60:00