1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.10.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S13 Oktoba 2016

Maafisa ujerumani wanataka majibu baada mshukiwa wa ugaidi raia wa Syria kujiua akiwa gerezani// Urusi na Marekani zimeahidi kuitisha tena mazungumzo ya amani kuhusu Syria// Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways limesema litasitisha uuzaji wa tiketi za usafiri kwa abiria ikiwa marubani hawatafutilia mbali mgomo ambao wameuitisha kuanzia wiki ijayo.

https://p.dw.com/p/2RBbK