1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.09.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S13 Septemba 2022

Rais Ruto: Naahidi kuyabadili maisha ya Wakenya/ Kenya inafungua ukurasa mpya na kumkaribisha rais wa tano William Ruto aliyeapishwa hii leo. Viongozi na marais 20 wa Afrika walihudhuria kumpongeza Ruto na naibu wake waliokula kiapo leo/ Putin wa Urusi ametumia ushawishi wake kukomesha mapigano kati ya Armenia na Azerbaijan

https://p.dw.com/p/4GnUe