1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.09.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S13 Septemba 2019

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Kangi Lugola amemuonya leo anayejiita ''mwanaharakati huru'' nchini humo Cyprian Musiba, kuachana na kuchafua majina ya viongozi na watu wengine mbalimbali, akijaribu kujionesha kana kwamba anatumwa na serikali// Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson anapanga kukutana na mwenyekiti wa Umoja wa Ulaya, Jean-Claude Juncker jumatatu inayokuja.

https://p.dw.com/p/3PZPN