1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.08.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S13 Agosti 2019

Tanzania imekabidhiwa uenyekiti wa baraza la mawaziri wa jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Africa SADC// Tanzania- Kamati ya kimataifa ya kuwalinda waandishi habari CPJ limeandika barua ya wazi kwa rais Magufuli, kuitaka serikali yake kufuta mashitaka dhidi ya mwandishi habari Kabendera// Uwanja wa ndege Hong Kong umefungua tena safari za ndege.

https://p.dw.com/p/3Npdd