1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.03.2021 - Matangazo ya Mchana

13 Machi 2021

Watu watatu wameumwa nchini Myanmar wakati wa maandamano ya kupinga mapinduzi. Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuondolewa wanajeshi wa kigeni nchini Libya. Familia ya Mmarekani Mweusi aliyeuwawa na polisi George Floyd kulipwa mamilioni ya dola.

https://p.dw.com/p/3qarA