1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.02.2018: Taarifa ya habari ya Asubuhi

Lilian Mtono
13 Februari 2018

Nchini Afrika Kusini, chama tawala cha ANC chakubaliana kumuondoa madarakani rais Jacob Zuma baada ya kikao kirefu cha kamati kuu ya chama hicho, kimbunga Gita chakipiga kisiwa cha Tonga na kusababisha uharibifu mkubwa na rais wa kamati ya michezo ya Olimpiki kuzuru Korea Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2sZlE