ICJ yaiunga mkono Somalia katika mzozo na Kenya+++Jeshi la Ethiopia limeanzisha operesheni maalum ya ardhini dhidi ya vikosi vya waasi wa Tigray+++Umoja wa Ulaya watoa yuro Bilioni moja kuisaidia Afghanistan+++Wanaharakati wa mazingira wataka mahakama ya ICC imchunguze Rais Bolsonaro kwa uhalifu dhidi ya binadamu na mazingira.