12.08.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 12.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

12.08.2020 Matangazo ya Asubuhi

Amnesty International: Burundi ishughulikie haki za binadamu/ Raia wa Chad wanasema wamechoshwa na utawala wa Rais Deby huku Ufaransa ikiwageuzia mgongo/ Wakati dunia ikiadhimisha siku ya vijana leo, huko nchini Tanzania kundi hilo linatajwa kutotumia vizuri ulingo wa siasa katika kutatua changamoto zinazowakabili.

Sikiliza sauti 51:59