12.06.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

12.06.2019 Matangazo ya Mchana

Sudan: Wanajeshi na upinzani kuanza tena mazungumzo/ Zitto Kabwe anasema atazishitaki mamlaka visiwani Zanzibar kwa kumkamata na kumzuilia kusafiri kinyume cha sheria hapo jana, wakati akiwa njiani kuelekea Mombasa nchini Kenya/ Kanisa la Kianglikana nchini Kenya limepiga marufuku wanasiasa kuhutubia waumini kwenye madhabahu/ Leo ni siku ya kupambana na ajira kwa watoto ulimwenguni

Sikiliza sauti 60:00