1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.05.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S12 Mei 2020

Serikali zafungua shughuli, WHO yaonya kuhusu wimbi la pili/ Hatua ya Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania eneo la Tunduma imesababisha hali ya taharuki kwa raia wengi wa Tanzania/ DW ilitaka kufahamu zaidi uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na nchi jirani umesimama wapi> Mahojiano na Bernard Membe/ Kabul: Watu kadhaa walishambuliwa ndani ya hospitali ya uzazi

https://p.dw.com/p/3c6mR