1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.04.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S12 Aprili 2019

Tangu jana, Sudan inaongozwa na Baraza la kijeshi, baada ya kupinduliwa na kukamatwa kwa rais wa nchi hiyo Omar al-Bashir// Zaidi ya vijana elfu 15 kutoka nchi za Ukanda wa Maziwa makuu wanakutana mjini Goma, Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye Kongamanao la amani// Leo ni siku ya kimataifa ya watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaan.

https://p.dw.com/p/3GezS