Zanzibar inaadhimisha miaka 58 ya Mapinduzi/ Mahakama ya Ujerumani inajiandaa kutoa hukumu katika kesi ya kwanza ya kimataifa kuhusu mateso yaliyodhaminiwa na dola nchini Syria/ Hali ya ukosefu wa utulivu nchini Kazakhstan ni hatari kubwa kwa masoko ya nishati/ Kenya: Mpango wa dharura wa kuwapa wanafunzi chakula cha msaada katika eneo la Laisamis jimboni Marsabit/ AFCON