12.01.2021 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 12.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

12.01.2021 Matangazo ya Mchana

Uganda: Wagombea wakuu wa upinzani katika uchaguzi wa Alhamisi wameazimia kushirikiana katika kulinda kura zao kwa pamoja/ Wananchi wa Zanzibar leo wamesherehekea miaka 57 ya Uhuru / Trump, Pence waahidi kushirikiana kumaliza muhula wao/ Congo: Hatua ya rais Tshisekedi kuwapa msamaha maafisa wawili waliokutwa na hatuia ya ubadhirifu wa fedha za umma imesababisha manung'uniko

Sikiliza sauti 60:00